Surat Al-Furqan, aya 66

25:66

إِنَّهَا سَآءَتۡ مُسۡتَقَرّٗا وَمُقَامٗا ٦٦

Innahā sā'at mustaqarran wamuqāmā

Hakika hiyo ni kituo na makao mabaya. 66

Maelezo ya chini

66 Na hakika Jahannamu ni kituo kiovu mno kwa mwenye kutua, na makao maovu kwa mwenye kukaa ndani yake.