Surat Al-Furqan, aya 24

25:24

أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَنَّةِ يَوۡمَئِذٍ خَيۡرٞ مُّسۡتَقَرّٗا وَأَحۡسَنُ مَقِيلٗا ٢٤

Ashābul-jannati yawma'idhin khayrum mustaqarran wa ahsanu maqīlā

Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri. 24

Maelezo ya chini

24 Watu wa Peponi Siku ya Kiyama ndio watao kuwa na utulivu bora, na mashukio mazuri, na makaazi ya starehe, kwa sababu hii ni Pepo walio andaliwa Waumini, si Moto walio andaliwa makafiri.