إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُوْلَٰٓئِكَ هُمۡ خَيۡرُ ٱلۡبَرِيَّةِ ٧
Innal-ladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti ulā'ika hum khayrul-bariyyah
Hakika walio amini na wakatenda mema, hao ndio bora wa viumbe. 7
Maelezo ya chini
7 Hakika wenye kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakatenda vitendo vyema, hao ndio bora ya viumbe kwa itikadi na vitendo.