وَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَنَّةِۖ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ ٨٢
Walladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti ulā'ika ashābul-jannati hum fīhā khālidūn
Na wale walio amini na wakatenda mema, hao ndio watu wa Peponi, humo watadumu. 82
Maelezo ya chini
82 Na wale walio amini na wakatenda mema hao ndio watu wa Peponi, kwa sababu wao wameamini na wakatimiza iliyo wajibisha Imani yao, nayo ni vitendo vyema, basi wao watakaa Peponi daima milele.