Surat Al-Baqarah, aya 6

2:6

إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ سَوَآءٌ عَلَيۡهِمۡ ءَأَنذَرۡتَهُمۡ أَمۡ لَمۡ تُنذِرۡهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ٦

Innal-ladhīna kafarū sawā'un 'alayhim a'andhartahum am lam tundhirhum lā yu'minūn

Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. 6

Maelezo ya chini

6 Hii ndiyo hali ya waongofu. Ama wajinga, majaahili, walio acha kujitayarisha kwa Imani kwa mapuuza na kufanya inda, wasimwitikie Mwenyezi Mungu, basi ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye.