Surat Al-Baqarah, aya 56

2:56

ثُمَّ بَعَثۡنَٰكُم مِّنۢ بَعۡدِ مَوۡتِكُمۡ لَعَلَّكُمۡ تَشۡكُرُونَ ٥٦

Thumma ba'athnākum mim ba'di mawtikum la'allakum tashkurūn

Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu, ili mpate kushukuru. 56

Maelezo ya chini

56 Kisha tukakuzindueni kutokana na huko kudawaa kwenu na kupwelewa, na tukakufundisheni ili mpate kuishukuru neema yetu kwa hayo, na mpate kuiunga mkono Haki ya Mwenyezi Mungu kwa kupitia njia ya shukrani hii.