Surat Al-Baqarah, aya 43

2:43

وَأَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُواْ ٱلزَّكَوٰةَ وَٱرۡكَعُواْ مَعَ ٱلرَّٰكِعِينَ ٤٣

Wa aqīmus-salawāta wa ātuz-zakawāta warka'ū ma'ar-rāki'īn

Na shikeni Swala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama. 43

Maelezo ya chini

43 Itikieni Imani. Shikeni Swala yenye nguzo zilizo simama baraabara. Na toeni Zaka muwape wanao stahiki. Na salini pamoja na jamaa wa Kiislamu ili mpate malipo ya Swala na thawabu za kusali jamaa. Na haya yanalazimu kuwa muwe Waislamu.