Surat Al-A'raf, aya 21

7:21

وَقَاسَمَهُمَآ إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ ٱلنَّٰصِحِينَ ٢١

Waqāsamahumā innī lakumā laminan-nāsihīn

Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini. 21

Maelezo ya chini

21 Naye akawaapia kuwa ati yeye ni katika wanao wapa nasaha njema, na akakariri kiapo chake.