وَإِخۡوَٰنُهُمۡ يَمُدُّونَهُمۡ فِي ٱلۡغَيِّ ثُمَّ لَا يُقۡصِرُونَ ٢٠٢
Wa ikhwānuhum yamuddūnahum fil-ghayyi thumma lā yuqsirūn
Na ndugu zao wanawavutia kwenye upotofu, kisha wao hawaachi. 202
Maelezo ya chini
202 Na ndugu zao mashetani, nao ni hao makafiri, mashetani huwazidisha upotovu kwa kuwajaza wasiwasi. Tena hawa makafiri hawaachi upotovu wao wakazingatia.