وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلۡأٓيَٰتِ وَلَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ١٧٤
Wakadhālika nufassilul-āyāti wala'allahum yarji'ūn
Ndio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea. 174
Maelezo ya chini
174 Kwa mfano wa maelezo wazi yenye hikima tunawabainishia wanaadamu dalili za kuwepo Mwenyezi Mungu, ili warejee waache ukhalifu wao na kuwafuata wapotovu.