Surat Al-A'raf, aya 14

7:14

قَالَ أَنظِرۡنِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ يُبۡعَثُونَ ١٤

Qāla anzirnī ilā yawmi yub'athūn

Akasema: Nipe muhula mpaka siku watakapo fufuliwa. 14

Maelezo ya chini

14 Iblisi akamwambia Mwenyezi Mungu: Nipe muhula, unibakishe mpaka Siku ya Kiyama.