Surat Al-A'raf, aya 132

7:132

وَقَالُواْ مَهۡمَا تَأۡتِنَا بِهِۦ مِنۡ ءَايَةٖ لِّتَسۡحَرَنَا بِهَا فَمَا نَحۡنُ لَكَ بِمُؤۡمِنِينَ ١٣٢

Waqālū mahmā ta'tinā bihī min āyatil litasharanā bihā famā nahnu laka bimu'minīn

Na wakisema: Hata ukituletea Ishara yoyote kutuzuga hatuto kuamini. 132

Maelezo ya chini

132 Na kwa hii fikra mbovu waliyo nayo wakaendelea na upinzani. Walisema walipo ona miujiza ya Musa: Wewe hata ukituletea kila namna ya Ishara zinazo onyesha ukweli wa wito wako, ili kutuachisha dini yetu, na tusiwafanye watumwa watu wako, sisi hatukusadiki wala hatukufuati.