وَمَا جَعَلۡنَٰهُمۡ جَسَدٗا لَّا يَأۡكُلُونَ ٱلطَّعَامَ وَمَا كَانُواْ خَٰلِدِينَ ٨
Wamā ja'alnāhum jasadal lā ya'kulūnat-ta'āma wamā kānū khālidīn
Wala hatukuwafanya miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele. 8
Maelezo ya chini
8 Wala Sisi hatukuwajaalia Mitume kuwa na miili inayo khitalifiana na miili ya wanaadamu wengine, wakawa wanaishi bila ya chakula, na wakabaki siku zote, na wala hawakuwa wanaishi daima milele.