وَأَدۡخَلۡنَٰهُ فِي رَحۡمَتِنَآۖ إِنَّهُۥ مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ٧٥
Wa adkhalnāhu fī rahmatinā innahū minas-sālihīn
Na tukamuingiza katika rehema yetu. Hakika yeye ni miongoni mwa watenda mema. 75
Maelezo ya chini
75 Tukampeleka njia ya watu wa rehema yetu. Hakika huyo alikuwa miongoni mwa watu wema alio wakusanya Mwenyezi Mungu katika rehema yake na akawakunjulia msaada wake.