Surat Al-Anbiya, aya 1

21:1

ٱقۡتَرَبَ لِلنَّاسِ حِسَابُهُمۡ وَهُمۡ فِي غَفۡلَةٖ مُّعۡرِضُونَ ١

Iqtaraba lin-nāsi hisābuhum wahum fī ghaflatim mu'ridūn

IMEWAKARIBIA watu hisabu yao, nao wamo katika mghafala wanapuuza. 1

Maelezo ya chini

1 Umewakaribia washirikina wakati wao wa kuhisabiwa Siku ya Kiyama, nao hali wameghafilika na kitisho chake, wanapuuza kuiamini.