Surat Al-An'am, aya 85

6:85

وَزَكَرِيَّا وَيَحۡيَىٰ وَعِيسَىٰ وَإِلۡيَاسَۖ كُلّٞ مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ٨٥

Wazakariyyā wayahyā wa'īsā wa ilyāsa kullum minas-sālihīn

Na Zakaria na Yahya na Isa na Ilyas. Wote walikuwa miongoni mwa watu wema. 85

Maelezo ya chini

85 Na tuliwaongoa Zakariya, na Yahya, na Isa, na Ilyas - kila mmoja wao katika hawa ni miongoni mwa waja wetu walio wema.