Surat Al-An'am, aya 72

6:72

وَأَنۡ أَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَٱتَّقُوهُۚ وَهُوَ ٱلَّذِيٓ إِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ ٧٢

Wa an aqīmus-salawāta wattaqūhu wahuwal-ladhī ilayhi tuhsharūn

Na mshike Swala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa. 72

Maelezo ya chini

72 Waachilieni mbali hao washirikina baada ya kuwa mmewaita kwenye uwongofu, na nendeni kwenye ibada ya Mola wenu Mlezi. Na timizeni SWala kwa njia ya unyenyekevu ulio kamilika kabisa. Na mkhofuni Mwenyezi Mungu, na timizeni amri zake. Kwani kwake Yeye ndio mtakusanywa nyote nyinyi.