Surat Al-An'am, aya 49

6:49

وَٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا يَمَسُّهُمُ ٱلۡعَذَابُ بِمَا كَانُواْ يَفۡسُقُونَ ٤٩

Walladhīna kaddhabū bi'āyātinā yamassuhumul-'adhābu bimā kānū yafsuqūn

Na walio kanusha Ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo kuwa wakipotoka. 49

Maelezo ya chini

49 Na wale wanao zikanusha dalili zilio wazi za ukweli wa waliyo kuja nayo Mitume, watapata adhabu kwa kutoka kwao kwenye ut'iifu na Imani.