وَقَالُوٓاْ إِنۡ هِيَ إِلَّا حَيَاتُنَا ٱلدُّنۡيَا وَمَا نَحۡنُ بِمَبۡعُوثِينَ ٢٩
Waqālū in hiya illā hayātunad-dunyā wamā nahnu bimab'ūthīn
Na walisema: Hakuna mengine ila maisha yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa. 29
Maelezo ya chini
29 Na lau wakirejeshwa duniani watairudia ile ile sera yao ya mwanzo, na watasema: Hatuna sisi uhai mwingine ila huu huu uhai wa kidunia. Wala sisi hatutafufuliwa baadae.