وَكَذَٰلِكَ نُوَلِّي بَعۡضَ ٱلظَّٰلِمِينَ بَعۡضَۢا بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ١٢٩
Wakadhālika nuwallī ba'daz-zālimīna ba'dā bimā kānū yaksibūn
Ndio kama hivi tunawaelekeza madhaalimu wapendane wao kwa wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma. 129
Maelezo ya chini
129 Kama tulivyo wawacha waasi wa kibinaadamu na wa kijini wakistareheshana wao kwa wao, basi amewajaalia madhaalimu wawe ni marafiki wao kwa wao, kwa sababu ya madhambi makubwa wanayo yachuma.