Surat Al-Ahzab, aya 70

33:70

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَقُولُواْ قَوۡلٗا سَدِيدٗا ٧٠

Yā'ayyuhal-ladhīna āmanut-taqullāha waqūlū qawlan sadīdā

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa. 70

Maelezo ya chini

70 Enyi mlio amini! Iogopeni adhabu ya Mwenyezi Mungu mkimuasi, na semeni maneno yalio simama sawa yasio kwenda upogo.