Surat Al-Ahzab, aya 68

33:68

رَبَّنَآ ءَاتِهِمۡ ضِعۡفَيۡنِ مِنَ ٱلۡعَذَابِ وَٱلۡعَنۡهُمۡ لَعۡنٗا كَبِيرٗا ٦٨

Rabbanā ātihim di'fayni minal-'adhābi wal-'anhum la'nan kabīrā

Mola wetu Mlezi! Wape wao adhabu mara mbili, na uwalaani laana kubwa. 68

Maelezo ya chini

68 Mola wetu Mlezi! Wajaalie adhabu yao iwe mardufu, na uwafukuze kwenye rehema yako kabisa kwa kadri ya madhambi yao na makosa yao.