Surat Al-Ahzab, aya 61

33:61

مَّلۡعُونِينَۖ أَيۡنَمَا ثُقِفُوٓاْ أُخِذُواْ وَقُتِّلُواْ تَقۡتِيلٗا ٦١

Mmal'ūnīna aynamā thuqifū ukhidhū waquttilū taqtīlā

Wamelaanika! Popote watakapo onekana watakamatwa na watauliwa kabisa. 61

Maelezo ya chini

61 Hao wanastahiki laana na kufukuzwa. Kila watapo patikana wakamatwe na wauliwe moja kwa moja.