وَلِكُلّٖ دَرَجَٰتٞ مِّمَّا عَمِلُواْۖ وَلِيُوَفِّيَهُمۡ أَعۡمَٰلَهُمۡ وَهُمۡ لَا يُظۡلَمُونَ ١٩
Walikullin darajātum mimmā 'amilū waliyuwaffiyahum a'mālahum wahum lā yuzlamūn
Na wote watakuwa na daraja zao mbali mbali kwa waliyo yatenda, na ili awalipe kwa vitendo vyao, na wala hawatadhulumiwa. 19
Maelezo ya chini
19 Na wote, Waislamu na makafiri, wana vyeo vyao vinavyo lingana na vitendo vyao walivyo vitenda, ili uadilifu wa Mwenyezi Mungu upate kuonekana kati yao, na ili awalipe jaza ya 'amali zao, nao hawatadhulumiwa, kwa sababu wanastahiki hayo wanayo lipwa.