Surat Adh-Dhariyat, aya 4

51:4

فَٱلۡمُقَسِّمَٰتِ أَمۡرًا ٤

Fal-muqassimāti amrā

Na zinazo gawanya kwa amri! 4

Maelezo ya chini

4 Zikawa zinagawanya riziki kwa ampendaye Mwenyezi Mungu.