Surat Adh-Dhariyat, aya 33

51:33

لِنُرۡسِلَ عَلَيۡهِمۡ حِجَارَةٗ مِّن طِينٖ ٣٣

Linursila 'alayhim hijāratam min tīn

Tuwatupie mawe ya udongo, 33

Maelezo ya chini

33 Tuwatupie mawe ya udongo, ambayo hapana anaye yajua yalivyo ila Mwenyezi Mungu.