۞ قَالَ فَمَا خَطۡبُكُمۡ أَيُّهَا ٱلۡمُرۡسَلُونَ ٣١
Qāla famā khatbukum ayyuhal-mursalūn
AKASEMA: Basi ujumbe wenu ni nini, enyi mlio tumwa? 31
Maelezo ya chini
31 Ibrahim akasema: Mna kazi gani tena baada ya khabari hii nzuri, enyi wajumbe?