هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ضَيۡفِ إِبۡرَٰهِيمَ ٱلۡمُكۡرَمِينَ ٢٤
Hal atāka hadīthu dayfi ibrāhīmal-mukramīn
Je! Imekufikia hadithi ya wageni wa Ibrahim wanao hishimiwa? 24
Maelezo ya chini
24 Unakijua kisa cha Malaika, wageni wa hishima wa Ibrahim? Pale walipo ingia kwake na wakamtolea Salamu, na yeye akawajibu kwa Salamu, na kuwambia kuwa ni watu asio wajua.