إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَعُيُونٍ ١٥
Innal-muttaqīna fī jannātin wa'uyūn
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 15
Maelezo ya chini
15 Hakika walio mt'ii Mwenyezi Mungu na wakamkhofu watakuwa wananeemeka katika Mabustani na chemchem za Peponi ambazo haziwezi kusifika hakika yake.