فَدَعَا رَبَّهُۥٓ أَنَّ هَٰٓؤُلَآءِ قَوۡمٞ مُّجۡرِمُونَ ٢٢
Fada'ā rabbahū anna hā'ulā'i qawmum mujrimūn
Ndipo akamwomba Mola wake Mlezi: Hakika watu hawa ni wakosefu. 22
Maelezo ya chini
22 Musa akamwambia Mola wake Mlezi kwa kumshitakia watu wake alipo kata tamaa nao kuwa hawaamini: Hakika watu hawa shauri yao imekwisha fika ukomo katika ukafiri; basi Wewe wafanyie wanalo stahiki.