Surat Yusuf, aya 2

12:2

إِنَّآ أَنزَلۡنَٰهُ قُرۡءَٰنًا عَرَبِيّٗا لَّعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ٢

Innā anzalnāhu qur'ānan 'arabiyyal la'allakum ta'qilūn

Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia. 2

Maelezo ya chini

2 Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote.