أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمُ ٱلنَّارُ بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ٨
Ulā'ika ma'wāhumun-nāru bimā kānū yaksibūn
Hao, makaazi yao ni Motoni kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma. 8
Maelezo ya chini
8 Watu hao, makaazi yao watakapo dumu ni Motoni. Hayo ni malipo kwa waliyo yachuma ya ukafiri na vitendo viovu.