Surat Yasin, aya 32

36:32

وَإِن كُلّٞ لَّمَّا جَمِيعٞ لَّدَيۡنَا مُحۡضَرُونَ ٣٢

Wa in kullul lammā jamī'ul ladaynā muhdarūn

Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu. 32

Maelezo ya chini

32 Hapana katika mataifa yaliyo tangulia na yajayo ila wote watakusanywa mbele yetu, nao wamelazimishwa kuhudhuria mbele yetu.