Surat Sad, aya 74

38:74

إِلَّآ إِبۡلِيسَ ٱسۡتَكۡبَرَ وَكَانَ مِنَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ٧٤

Illā iblīsastakbara wakāna minal-kāfirīn

Isipo kuwa Iblisi; alijivuna na akawa katika makafiri. 74

Maelezo ya chini

74 Malaika wote wakafanya kama walivyo amrishwa, wakamuangukia wakisujudu, isipo kuwa Iblisi. Yeye hakusujudu, na akajiona bora na akapanda kiburi, na akawa miongoni mwa makafiri.