هَٰذَا فَلۡيَذُوقُوهُ حَمِيمٞ وَغَسَّاقٞ ٥٧
Hādhā falyadhūqūhu hamīmun waghassāq
Ndio hivi! Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha! 57
Maelezo ya chini
57 Haya maji ya moto, mwisho wa umoto, na usaha wa watu wa Jahannamu wataamrishwa wayaonje.