هَٰذَاۚ وَإِنَّ لِلطَّٰغِينَ لَشَرَّ مَـَٔابٖ ٥٥
Hādhā wa inna lit-tāghīna lasharra ma'āb
Ndio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa; 55
Maelezo ya chini
55 Neema hizi ni malipo ya wachamngu. Na hakika majabari wenye kuwaasi Manabii wao bila ya shaka watakuwa na marejeo na mwisho muovu.