Surat Sad, aya 40

38:40

وَإِنَّ لَهُۥ عِندَنَا لَزُلۡفَىٰ وَحُسۡنَ مَـَٔابٖ ٤٠

Wa inna lahū 'indanā lazulfā wahusna ma'āb

Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea. 40

Maelezo ya chini

40 Hakika Suleiman kwetu Sisi ana ukaribisho mkubwa, na marejeo mazuri.