قُلۡ جَآءَ ٱلۡحَقُّ وَمَا يُبۡدِئُ ٱلۡبَٰطِلُ وَمَا يُعِيدُ ٤٩
Qul jā'al-haqqu wamā yubdi'ul-bātilu wamā yu'īd
Sema: Kweli imefika, na uwongo haujitokezi, wala haurudi. 49
Maelezo ya chini
49 Waambie: Uislamu umedhihiri, wala uwongo hauwezi kuwa ndio njia ya kuipinga Haki. Na hizo mbinu za zamani hazirejei tena.