وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فَتَعۡسٗا لَّهُمۡ وَأَضَلَّ أَعۡمَٰلَهُمۡ ٨
Walladhīna kafarū fata'sal lahum wa adalla a'mālahum
Na walio kufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao. 8
Maelezo ya chini
8 Na walio kufuru Mwenyezi Mungu atawatia mashakani, na atawapotoa vitendo vyao.