إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ جَنَّٰتُ ٱلنَّعِيمِ ٨
Innal-ladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti lahum jannātun-na'īm
Hakika walio amini na wakatenda mema watakuwa nazo Bustani za neema. 8
Maelezo ya chini
8 Hakika walio amini na wakatenda vitendo vyema watapata Bustani zenye neema.