فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ مَن يَأۡتِيهِ عَذَابٞ يُخۡزِيهِ وَيَحِلُّ عَلَيۡهِ عَذَابٞ مُّقِيمٌ ٣٩
Fasawfa ta'lamūna man ya'tīhi 'adhābun yukhzīhi wayahillu 'alayhi 'adhābum muqīm
Nanyi mtakuja jua ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mteremkia adhabu ya kudumu. 39
Maelezo ya chini
39 Mtakuja jua nani kati yetu atakaye fikiwa na adhabu ya kumdhalilisha, na atafikiwa na adhabu ya kudumu milele katika Akhera!