Surat Az-Zumar, aya 40

39:40

مَن يَأۡتِيهِ عَذَابٞ يُخۡزِيهِ وَيَحِلُّ عَلَيۡهِ عَذَابٞ مُّقِيمٌ ٤٠

Man ya'tīhi 'adhābun yukhzīhi wayahillu 'alayhi 'adhābum muqīm

Ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mshukia adhabu ya daima. 40

Maelezo ya chini

40 Waambie, kwa kuwapa ahadi: Enyi watu! Ishikilieni hiyo hiyo njia yenu ya ukafiri na kukadhibisha, na mimi hakika ninashikilia aliyo niamrisha Mola wangu Mlezi. Mtakuja ona nani katika sisi atakaye fikiwa na adhabu ya kumdhalilisha, na atakaye teremkiwa na adhabu ya daima isiyo mwondokea?