Surat Az-Zumar, aya 28

39:28

قُرۡءَانًا عَرَبِيًّا غَيۡرَ ذِي عِوَجٖ لَّعَلَّهُمۡ يَتَّقُونَ ٢٨

Qur'ānan 'arabiyyan ghayra dhī 'iwajil la'allahum yattaqūn

Qur'ani ya Kiarabu isiyo na upogo, ili wamche Mungu. 28

Maelezo ya chini

28 Tumeiteremsha Qur'ani ya Kiarabu kwa ulimi wao, haina upungufu, kwa kutaraji kuwa watamcha na watamwogopa Mola wao Mlezi.