وَأُمِرۡتُ لِأَنۡ أَكُونَ أَوَّلَ ٱلۡمُسۡلِمِينَ ١٢
Wa umirtu li an akūna awwalal-muslimīn
Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu. 12
Maelezo ya chini
12 Na nimeamrishwa amri iliyo tokana naye Mtukufu, amri ya nguvu, ya kwamba niwe wa mwanzo wa kufuata amri zake.