Surat Az-Zukhruf, aya 6

43:6

وَكَمۡ أَرۡسَلۡنَا مِن نَّبِيّٖ فِي ٱلۡأَوَّلِينَ ٦

Wakam arsalnā min nabiyyin fil-awwalīn

Na Manabii wangapi tuliwatuma kwa watu wa zamani! 6

Maelezo ya chini

6 Nasi tuliwatuma Manabii wengi kuyaendea mataifa yaliyo tangulia, basi hapana ajabu kitu kumtuma Mtume kwenu.