Surat Az-Zukhruf, aya 44

43:44

وَإِنَّهُۥ لَذِكۡرٞ لَّكَ وَلِقَوۡمِكَۖ وَسَوۡفَ تُسۡـَٔلُونَ ٤٤

Wa innahū ladhikrul laka waliqawmika wasawfa tus'alūn

Na hakika haya ni ukumbusho kwako na kwa kaumu yako. Na mtakuja ulizwa. 44

Maelezo ya chini

44 Na hakika hii Qur'ani ni utukufu mkubwa juu yako, ewe Muhammad, na wa Umma wako, kwa kuwa umeteremshiwa kwa lugha ya Kiarabu, na mtakuja kuhojiwa Siku ya Kiyama juu ya haki yake, na shukrani za neema zake.