أَمۡ ءَاتَيۡنَٰهُمۡ كِتَٰبٗا مِّن قَبۡلِهِۦ فَهُم بِهِۦ مُسۡتَمۡسِكُونَ ٢١
Am ātaynāhum kitābam min qablihī fahum bihī mustamsikūn
Kwani tuliwapa Kitabu kabla ya hichi, na ikawa wao wanakishikilia hicho? 21
Maelezo ya chini
21 Kwani tuliwapa Kitabu kabla ya Qur'ani cha kuunga mkono huu uzushi wao, ndio maana wakashikamana nao kwa nguvu hivi? Hatukuwateremshia Kitabu namna hiyo. Basi hawana hoja ya kuinukulu.