Surat Ar-Ra'd, aya 29

13:29

ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ طُوبَىٰ لَهُمۡ وَحُسۡنُ مَـَٔابٖ ٢٩

Alladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti tūbā lahum wahusnu ma'āb

Wale walio amini na wakatenda mema watakuwa na raha na marejeo mazuri. 29

Maelezo ya chini

29 Na hakika wanao inyenyekea Haki, na wakasimama kutenda vitendo vyema, hao watapata malipo mema, na mwisho mzuri.