Surat An-Nur, aya 5

24:5

إِلَّا ٱلَّذِينَ تَابُواْ مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ وَأَصۡلَحُواْ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ٥

Illal-ladhīna tābū mim ba'di dhālika wa aslahū fa innallāha ghafūrur rahīm

Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; kwani bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwenye kurehemu. 5

Maelezo ya chini

5 Lakini mwenye kutubu katika wao akajuta kwa maasi yake, na akaazimia kuwa mt'iifu na kuonyesha ukweli wa toba yake kwa kwenda kwake mwendo mwema, basi Mwenyezi Mungu atamsamehe kumuadhibu.