وَلَا تُجَٰدِلۡ عَنِ ٱلَّذِينَ يَخۡتَانُونَ أَنفُسَهُمۡۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ مَن كَانَ خَوَّانًا أَثِيمٗا ١٠٧
Walā tujādil 'anil-ladhīna yakhtānūna anfusahum innallāha lā yuhibbu man kāna khawwānan athīmā
Wala usiwatetee wanao khini nafsi zao. Hakika Mwenyezi Mungu hampendi aliye khaaini, mwenye dhambi. 107
Maelezo ya chini
107 Wala usiwatetee wale wanao fanya khiana, na wakaendelea mno katika kuificha hiyo khiana katika nafsi zao. Kwani Mwenyezi Mungu hampendi ambaye mtindo wake ni khiana na kufanya madhambi.